Midea Microwave
Midea Microwave
Midea Microwave
Midea Microwave

Midea Microwave

180,000Sh

Umwage chakula kilicho baki kwa sababu umekosa sehemu ya kupashia hicho chakula, Suluhusho lako ni Midea Microwave, hii ni microwave bora kabisa na imara.
Inapasha chakula
? Inaoka mikate, keki, samaki na nyama
? Inatumia umeme mdogo sana
? Ina heat vizuri sana
? Ujazo wake ni Lita 20

Warranty yake ni mwaka mmoja ?

Location: Tupo kariakoo mtaa MAGILA na NDANDA
DELIVERY: tunafanya delivery kwa wateja dar es salaam yote na mkoni tunatuma pia.

 

Overview

  • Product Brand: Other
  • Condition: New

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Midea Microwave”

180,000Sh