Ailyons Refrigerator 172L
Sh 680,000
📦 Weka Maelezo ya Delivery
Jaza fomu hapa chini kuagiza bidhaa hii
Ailyons fridge Lita 172 ni fridge Bora kabisa, ni fridge ambayo inatumia umeme midogo, inagandisha vizuri sana kwa upande wa freezer na inatunza ubaridi kwa muda mrefu kwa upande wa chini wa fridge.
? Ina UREFU wa futi 5
? Ina milango miwili juu na chini
? Compressor yake ni imara sana
? Rangi yake ni silver
? Warranty yake ni mwaka mmoja ?
Be the first to review “Ailyons Refrigerator 172L”
You must be logged in to post a review.





Reviews
There are no reviews yet.