dual lens 4Mp 380Pro bulb camera
π¦ Weka Maelezo ya Delivery
Jaza fomu hapa chini kuagiza bidhaa hii
πΈβ¨ Dual-Lens Bulb Camera β Ulinzi wa Kila Upande Bila Kukosa Hata Sekunde!
Je, unataka usalama wa uhakika bila kutumia vifaa vingi au gharama kubwa? Dual-Lens Bulb Camera ndiyo suluhisho rahisi, la kisasa na lisilovutia macho ya watu. Imeundwa kwa tekinolojia mbili za lenzi zinazofanya kazi kwa pamoja kukupa muonekano mpana wa 360Β°, bila sehemu yoyote kubaki gizani.
Kamera hii inafanya kazi ndani ya balbu ya kawaida, hivyo hauhitaji mafundi wala waya. Unachotakiwa kufanya ni kuiunganisha kwenye opu ya balbu, kisha kuunganisha kwenye app yako β tayari kwa ulinzi!
Faida kuu unazopata:
β
Lenzi mbili kwa ajili ya kurekodi pande tofauti kwa wakati mmoja
β
Muonekano wa 360Β° bila sehemu zilizofichika
β
Video safi mchana na usiku (Night Vision)
β
Inafuata mwendo (Auto Tracking)
β
Inarekodi sauti na picha kwa ubora wa juu
β
Ina View kwenye simu yako popote ulipo
β
Rahisi kufunga β hakuna wiring
β
Inaonekana kama balbu ya kawaida, hivyo salama bila kuonekana kama kamera
Hii ni kamera inayofaa kwa:
π Nyumba
π’ Ofisi
ποΈ Duka
ποΈ Eneo la nje na ndani
Usiache usalama wako uwe wa kubahatisha. Dual-Lens Bulb Camera ni macho yako ya ziada, masaa 24.
#hiddencamera #nyumbayauchunguzi #bishoostore
- Contact Name: bishoo store
- Model: dual lens
- Condition: New
- Payment Options: ,,
- Brand: HIK
Leave Review
You must be logged in to post a review.





I love its performance