jinsi ya kuandaa Tangazo Linalouza.
Natambua umeangaika sana Kuandaa Tangazo (ads) Linalouza kwa haraka.Nataka nikwambie upo sehemu sahihi,endelea kusoma Uzi huu utakusaidia. Ni vigumu kujua kama utauza au lah Ila Kikubwa ni kujaribu kila aina ya njia. kuuza kunaanzia kwenye content unavyoiandaa,picha unazoweka,Bei na huduma…
Read More