Jinsi ya kuongeza mauzo kwa kutumia duka Mtandao?
Duka Mtandao ni sehemu ambayo unaweza kuweka bidhaa zako kwa mfumo wa picha na bei (digitally) kama ulivyokuwa kwenye duka la kawaida (local shop) ,duka la mtandao utumia zaidi utepe wako wa kidijitali kunasa wateja. Watu wengi siku hizi wamekuwa…
Read More