Je! Unaweza kuuza vitu used wapi?
wengi wetu tunaishi na vitu tulivyoacha matumizi navyo kwa mfano TV za chogo,masofa ya zamani,vinanda,vitanda na nk.
Hivi vitu havina matumizi yoyote na uendelee kukaa kwenye mazingira yetu kwa kuchukua nafasi (store).
Unatakiwa kuviuza ili urudishe asilimia ya pesa uliyotumia kununua.
unaweza kufikiri hakuna wateja wa hivyo vitu?
la hasha! Wateja ni wengi sana na wanaitaji kununua hivyo vitu vyako.
labda nikueleze jambo moja ,watu wengi upendelea kununua vitu vilivyotumika wakati wa matatizo ya kifedha.
Watu wanapenda kununua sana vitu vilivyotumika ndio maana ukitembea mtaani kwako utakutana na maduka mengi ya vitu used.
Je ni wapi unaweza kuuza vitu used?
Mara nyingi Hilo limekuwa swali la kujiuliza na linakupa mashaka mwakubwa.
unaweza kuuza bidhaa/vitu vilivyotumika kwenye mitandao kwa urahisi zaidi.
Mtandao wa Bishoo unakuwezesha wewe kuuza bidhaa yako iliyotumika na kupata wateja kwa haraka sana.
BISHOO ukiwa mtandao ambao unalenga kuwafanya kila watumiaji wake wafanya biashara ,umeweka onyesho la kuchagua Hali ya bidhaa yako kama imetumika au mpya.
Ni muda wa kurudisha asilimia kadhaa ya ile gharama uliyotoa awali kununua hivyo vitu.





