Je! Unaweza kuuza vitu used wapi?
wengi wetu tunaishi na vitu tulivyoacha matumizi navyo kwa mfano TV za chogo,masofa ya zamani,vinanda,vitanda na nk. Hivi vitu havina matumizi yoyote na uendelee kukaa kwenye mazingira yetu kwa kuchukua nafasi (store). Unatakiwa kuviuza ili urudishe asilimia ya pesa uliyotumia…
Read More